uwazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    review ya ukweli na uwazi au uongo

    napenda fahamu kweli changamoto zilikuwepo au mwandishi katoa taarifa sio sahihi
  2. Roving Journalist

    PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  3. Ojuolegbha

    Haki, Uwazi na Heshima ya Taifa; Jibu kwa Ado Shaibu

    Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha msimamo wa uwazi na uwajibikaji, akitoa maelekezo thabiti kwa vyombo vya dola kuhakikisha...
  4. Mkalukungone mwamba

    Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi: Tunataka mfumo wa kodi uwe rafiki kwa walipakodi, uimarike kwa uwazi

    Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya kikao na wadau wa kodi mkoani Iringa, ikilenga kupokea maoni na mapendekezo kuhusu changamoto za kodi na tozo mbalimbali zinazokwamisha maendeleo ya biashara. Mjumbe wa Tume na Mwenyekiti wa kundi dogo la Tume, Balozi Mwanaidi Maajar, amesema kuwa...
  5. figganigga

    Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  6. figganigga

    Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

    Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani? Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji. Wananchi wanatakiwa waambiwe...
  7. gcmmedia

    Uwazi siyo Utupu (Transparency is not nakedness)

    Moja ya sifa za uongozi imara ni pamoja na UWAZI katika kufanya mambo na utoaji taarifa kwa wadau juu ya mwenendo wa shughuli na matokeo. Hata hivyo, moja ya kosa viongozi wengi WAWAZI ambalo hufanya ni kudhani wanaweza kuwa wawazi kwa kila kitu. Kuwa muwazi katika kila kitu kunafanya taasisi...
  8. Eli Cohen

    Dini ipo ndani ya moyo wako. Dini ni upendo. Dini ni uwazi. Dini sio haya mashirika mnayoenda kuyafaidisha na kutimiza itikadi zao.

    Mmekuwa manipulated kwa enzi na enzi kumuunganisha Mungu na dini. Mmekuwa brainwashed kuona njia ya kumifikia Mungu ni dini. Mungu sio dini, Dini sio Mungu. Dini hizi ambazo viongozi wenu wanalindwa na mabaunsa huku wakiwahamasisha msiwe na hofu Mungu yuko na nyie. Dini hizi ambazo viongozi...
  9. BARD AI

    Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  10. Chakaza

    Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
  11. Mhafidhina07

    CCM jitahidini kuweka uwazi na uwajibikaji katika kodi za wananchi,nina sisitiza hakuna mbadala wenu.

    uwajibikaji ni kitendo cha kutekeleza sera,sheria na utaratibu kwa uadilifu na uwazi,kuna faida kadhaa za kuwepo uwajibikaji naelezea kama zifuatavyo kujenga misingi imara ya uongozi,uadilifu,utekelezaji wa shughuli za kijamii na kuweka mfumo zuri kati ya serikali na wananchi,inapotokea...
  12. G

    Ngao ya jamii haina hamasa kwasababu mapato yote yanaenda TFF na taasisi zingine kwa lengo la kuisaidia jamii lakini zinaishia mifukoni mwa wachache

    Hela unayopatikana wanadai wanarudisha kwa jamii ila hatujawahi kushuhudia hata beseni wamepeleka zahanati Sababu iliyopeleka mechi hii isiwe na hamasa ni "Tucheze sisi hela wapate wao? " kuanzia mwaka jana ngao ya jamii iliongezwe timu ziwe badala ya mbili, ni kufosi Yanga na Simba zikutane...
  13. Roving Journalist

    Wadau mbalimbali wakutana Arusha katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) kujadili Mbinu za Kisasa za Ununuzi ili Kudhibiti Rushwa

    https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
  14. Bob Manson

    Kama hewa itatoka katika eneo lililo na uwazi, je ni kitu gani huzuia hewa isitoke nje ya uso wa dunia?

    Habari za jioni wadau.... Kama mnakumbuka nilileta mada kuhusu chanzo au asili ya Oxygen, Nashukuru wadau walinipa elimu nzuri kuhusu Oxygen na nikaelewa vyema. Leo pia nina swali kuhusu Oxygen au hewa. Kwa mujibu wa sayansi, asili ya hewa au mazingira yake ni lazima iwe katika eneo ambalo...
  15. mwanamichakato

    UCHAGUZI MKUU VS UWAZI WA VYAZO VYA FEDHA NS MATUMIZI

    Tunaelekea na tumekaribia msimu wa uchaguzi pamoja na mwaka wa uchaguzi mkuu.. Halipingiki fedha ni chambo muhimu ktk kufanikisha uchaguzi ktk vyama na kwa wagombea udiwani,ubunge na urais.Lakini vyanzo vya fedha husika vyapaswa kuwa wazi ktk muktadha wa kuepuka fedha chafu,Za maadui wa...
  16. Roving Journalist

    UNICEF yaipongeza Tanzania kwa uwazi katika maandalizi na Utekelezaji wa Bajeti

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo. Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma...
  17. BARD AI

    Kwanini Ripoti ya Taarifa ya Utendaji wa TAKUKURU inaishia kwa Rais badala ya kuwekwa wazi ili Umma uijue?

    Kila mwaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) huwa inatoa Ripoti ya Taarifa ya Utendaji Kazi ambayo hukabidhiwa kwa Rais kwaajili ya hatua mbalimbali. Lakini Ripoti hiyo haiwekwi wazi kwa Umma kutokana na kubanwa na Sheria ya Kupambana na Rushwa ambayo haijaweka takwa hilo Je...
  18. P

    Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  19. Bams

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli. Wengi walipenda na walikuwa na...
  20. S

    Makaburi ya Viongozi: Jeneza hugusana na udongo au ndani huwa kunakuwa na uwazi uliofunikwa na zege kwa juu?

    Mwenye kujua atujuze kwani nafahamu ipo miili ambayo hukaushwa na kubaki kama ilivyo na mingine sujui huwekewa vioo watu watazame, n.k. Kwa Tanzania yetu hii, viongozi majeneza yao hushindiliwa na udongo kama ya watu wa kawaida au wao huzikwa kwa namna tofauti majeneza yao hayakutani na udongo...
Back
Top Bottom