uwazi serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uwazi siyo Utupu (Transparency is not nakedness)

    Moja ya sifa za uongozi imara ni pamoja na UWAZI katika kufanya mambo na utoaji taarifa kwa wadau juu ya mwenendo wa shughuli na matokeo. Hata hivyo, moja ya kosa viongozi wengi WAWAZI ambalo hufanya ni kudhani wanaweza kuwa wawazi kwa kila kitu. Kuwa muwazi katika kila kitu kunafanya taasisi...
  2. Kwanini Ripoti ya Taarifa ya Utendaji wa TAKUKURU inaishia kwa Rais badala ya kuwekwa wazi ili Umma uijue?

    Kila mwaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) huwa inatoa Ripoti ya Taarifa ya Utendaji Kazi ambayo hukabidhiwa kwa Rais kwaajili ya hatua mbalimbali. Lakini Ripoti hiyo haiwekwi wazi kwa Umma kutokana na kubanwa na Sheria ya Kupambana na Rushwa ambayo haijaweka takwa hilo Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…