Suala zima la migomo Kariakoo linahusu masuala mazima ya kodi, liliibuka mwaka jana likazimwa kisiasa likaibuka tena mwaka huu na linazimwa kwa mbinu zile zile za kisiasa.
Linaacha ukakasi kwa wote wenye kutafakari kila suala kwa kina. Linakuja na kuondoka likiwa na haki kabisa ya kumuondoa...