Ismail Jussa, makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar aneleza kuwa licha ya kuwepo kwa muwekezaji katika bandari ya Malindi lakini bado kuna changamoto katika kushusha mizizgo ambapo meli zinaweza kusubiri hadi wiki mbili ili kupata nafasi ya kushusha mizigo. Amesema jambo hilo lina athari...