Miradi ifuatayo ambayo imeorodheshwa katika tovuti ya PPP ni miradi ambayo yatafutiwa wawezekazi wa nje.
Sasa kwanini Tanesco imeingizwa humo na kuanza kupigiwa debe sana huku miradi kama hoteli ya hadhi uwanjani JNIA na "shopping centre" hapohapo ikiwa bado yadoda?
Ifuatayo ni miradi hiyo...
Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki.
Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla.
TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na...
Rafiki yangu mpendwa,
Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye maisha ni kutoka kwa wale waliofanikiwa kwenye kitu hicho.
Inapokuja kwenye uwekezaji, Warren Buffet, bilionea na mwekezaji ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa zaidi ya miaka 70 akiwa mwekezaji, ni mtu sahihi wa kumsikiliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.