uwekezaji bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miradi ya PPP iliyopo katika tovuti ambayo yahitaji wawekezaji wa nje, kwanini wawekezaji wakimbilia Tanesco pekee ambayo haimo hata kwenye orodha?

    Miradi ifuatayo ambayo imeorodheshwa katika tovuti ya PPP ni miradi ambayo yatafutiwa wawezekazi wa nje. Sasa kwanini Tanesco imeingizwa humo na kuanza kupigiwa debe sana huku miradi kama hoteli ya hadhi uwanjani JNIA na "shopping centre" hapohapo ikiwa bado yadoda? Ifuatayo ni miradi hiyo...
  2. Wawekezaji wengi hawaji na fedha kutoka kwao bali wanakopa kwenye haya haya mabenk yetu

    Ni mara nyingi nimewaona raia wa mataifa mengine waliowekeza hapa nchini (Tanzania) wakiwa kwenye ofisi za maafisa mikopo wa benki. Hii ina maanisha wazi wanachokuja nacho ni wazo tu pengine na ujuzi au maarifa. Fedha wanazikuta humu humu. Sijui hata ni nani alituroga?
  3. Nini kifanyike kufufua Tanzania International Petroleum Refinery (Tiper)?

    Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla. TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni kampuni ilioundwa mahsusi Kwa ajili ya kusafisha mafuta ghafi. Mitambo ya thamani kubwa ilinunuliwa na...
  4. Huu ndiyo Uwekezaji Bora kabisa unaoweza kufanya mwaka huu 2024

    Rafiki yangu mpendwa, Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye maisha ni kutoka kwa wale waliofanikiwa kwenye kitu hicho. Inapokuja kwenye uwekezaji, Warren Buffet, bilionea na mwekezaji ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa zaidi ya miaka 70 akiwa mwekezaji, ni mtu sahihi wa kumsikiliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…