Rafiki yangu mpendwa,
Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye maisha ni kutoka kwa wale waliofanikiwa kwenye kitu hicho.
Inapokuja kwenye uwekezaji, Warren Buffet, bilionea na mwekezaji ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa zaidi ya miaka 70 akiwa mwekezaji, ni mtu sahihi wa kumsikiliza...