Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo taifa, Abdul Nondo, amehoji nia na utayari wa Serikali katika kusaidia vijana wasio na ajira kwa kuwekeza zaidi kwenye mafunzo ya ufundi stadi kupitia vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)
Nondo amesema kuwa licha ya Serikali...