Kuna masoko takribani matano ya mitaji
Soko la hati fungani
Soko la hisa
Soko la Kubadilisha fedha
Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto
Soko la Bidha/Dar Mercantile market
Hayajepewa kibali na hakuna mamalaka inayosimamia....Usishiriki, sitoliongelea kwani bado sijajua mfumo wa kuliendesha...
Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100?
Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini?
Bond..je za BOT 20 to 25 years?je ni rahis kuzipata mwananchi wa kawaida?
Fixed deposit..eg 14 pcnt mfano finca au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.