Sio humu tu, nenda kwenye mitandao mingi tu. Sikiliza vipindi vya redio, televisheni, maofisini, mashuleni, utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja, kujibu hoja kwa matusi.
Kejeli na upuuzi mwingi. Kujenga hoja bila ushahidi,kutumia lugha chafu au kiswahili kibovu, tabia ya...