uwezo wa kuongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna bahati mbaya sana kupata viongozi ambao hawana uwezo wa kuongoza, mbaya zaidi silaha yao kuu ni uongo

    Ni aibu sana kama nchi kwanini tunakosa watu Genuine wanaoweza kuaddress matatizo ya wananchi na kuyashughulikia bila mawaa. Hivi serikali haioni aibu kusema kuwa kwenye maandamano kulikuwa na raia wa kigeni serious kabisa ni aibu sana kuongea uongo. Kingine hata kwenye kutangaza matokeo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Innocent Bashungwa, ameendelea na kampeni za kuomba kura za Mgombea wa Urais, Ubunge na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Karagwe kwa kueleza kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Wakili Alloyce Komba, Kama una uwezo wa kuongoza mpira mbona Yanga unaogopa kuchukua fomu na wewe ni mwanachama mkongwe kuliko injinia Hersi?

    Hili jamaa bwana linashangaza sana , unadai unataka kuongoza mbona unamuogopa Eng Hersi pale Yanga wakati ni mwanachama wa Yanga tena mkongwe kuliko Hersi? Au kWa sababu TFF hakuna makelele na vitisho kule Yanga, we huoni Yanga inavyobagazwa na umekaa kimya tu, watu wananufaika na mradi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ilikuaje watu waliopata zero form six na form four wakapata nafasi za juu kisiasa?

    Tanzania tunabidi kuwa makini. MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili. Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani. Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…