Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana.
imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo.
Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
Kabla ya mechi ya Yanga na Al Hilal niliandika kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa Al Hilal wasicheze mpira wa kushambulia zaidi. Watacheza mpira wa kulinda zaidi kwa hiyo basi watakuwa wengi nyuma na itakuwa vigumu kwa Yanga kupita na mpira.
Nikasema ili Yanga ashinde kuna njia mbili Nabi anatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.