Kabla ya mechi ya Yanga na Al Hilal niliandika kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa Al Hilal wasicheze mpira wa kushambulia zaidi. Watacheza mpira wa kulinda zaidi kwa hiyo basi watakuwa wengi nyuma na itakuwa vigumu kwa Yanga kupita na mpira.
Nikasema ili Yanga ashinde kuna njia mbili Nabi anatakiwa...