uwt iringa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mwenyekiti wa UWT Iringa atahadharisha matukio ya Utekaji na Rushwa kipindi cha Uchaguzi

    Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo kupata uthibitisho kutoka kwa viongozi. Ametahadharisha pia dhidi ya vitendo vya rushwa, akisisitiza...
  2. Pre GE2025 UWT Iringa walivyowaimbisha 'Mitano tena' wanafunzi wakisherekea birthday ya Rais Samia

    Ndio hivyo..!😎 Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…