Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi umeiomba Jamii kuwa na mioyo ya upendo na huruma kwa waishio katika mazingira magumu kwenye maeneo wanayoishi.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa (UWT) Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Bi.Marcelina Mkini wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya...