Kwa kweli inashangaza jinsi CCM ilivyogeuka na kuwa chama kisichojali habari za wananchi.
Inashangaza nchi hii ina Rais mwanamke, ina Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) ina jumuia ya wazazi lakini leo hii wote hao wanashindwa kutoa kauli kukemea kauli ya kifedhuli, ya kibaradhuli na ya kibri...
Wakuu,
CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa.
Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama Makamu Mwenyekiti wa chama hicho.
Maana yake ni kwamba, Wasira anakuwa Mwanaume 8 kushika nafasi...
Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika.
Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM.
#Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
Makamu Mwenyekiti wa Umoja Wa Wanawake Tanzania (UWT) Zainab Khamis Shomari ametoa wito kwa Wanawake na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya madini ikiwemo kuwekeza kwenye shughuli za uchimbaji pamoja na kutoa huduma migodini.
Amedai kuwa Serikali imeweka mazingira...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024.
https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
📌 📌 Ubungo-NIT Mabibo
🗒️ 29 Agosti 2024
Mwenyekiti wa UWT mkoa Dar es salaam Ndugu Mwajabu Rajabu Mbwambo alikuwa Mgeni Rasmi katika kongamano la Mwanamke Jitambue lililondaliwa na Kablu ya Michezo ya jadi (KLAMIJAMA) iitwayo I Love Mabibo Chini ya Makamu Mwenyekiti Tatu Papa na katibu...
IGUNGA: "UWT TAIFA YAENDELEA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA"
Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Ghasia Amefanya Ziara kwenye Kata Nne za Jimbo la Igunga (Itumba, Lugubu, Nguvumoja na Igunga) kwa ajili ya...
Wadau hamjambo nyote?
=======
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT).
Kamati hiyo imeketi chini ya Makamu Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya UWT Taifa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru wamefika Wilaya ya Kilombero kutoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko
Miongoni mwa viongozi...
VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM
Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA
📍Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), wameshiriki semina ya masuala ya Sera ya jinsia. Leo Tarehe 19 Februari, 2024.
Semina...
TUZO ZA PONGEZI KWA VIONGOZI WETU WA UWT TAIFA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndg. Zainab Khamis Shomari (MNEC) tarehe 01 Disemba 2023 wamepokea Tuzo za Pongezi kutoka kwa Viongozi wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuwapongeza...
Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga.
Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA
CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo.
Chatanda amesema kuwa amesikitishwa na namna ya utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo ambavyo hauko vizuri kwenye Halmashauri hiyo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiambatana na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari wakimuombea kura Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya Bahati Ndingo katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Ubaruku.
Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ,Mwenyekiti Chatanda amewaomba...
MWENYEKITI UWT AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA KALIUA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda Ametembelea Hospital ya Wilaya ya Kaliua na kuridhishwa na Ujenzi wa Hospital hiyo ambapo ametoa wito Kwa Wananchi na Viongozi kuishi vizuri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.