Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo.
Chatanda amesema kuwa amesikitishwa na namna ya utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo ambavyo hauko vizuri kwenye Halmashauri hiyo...