uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Global Peace Foundation (GPF) Tanzania Wazindua Mradi wa Jamii Shirikishi Katika Uzalendo na Ulinzi

    "Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~ Mh Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi. "Sisi kama viongoizi hatutakuwa vikwazo, na...
  2. Arafati Kilongola

    “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  3. Arafati Kilongola

    Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  4. Mohamed Said

    Kongamano la Mwinyi Baraka: Uislam na Uzalendo

    https://youtu.be/vMA8MAZBB2Y?si=RWfDDfmV8WrzNacW
  5. Arafati Kilongola

    Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
  6. N

    Uzalendo kwanza:Tunaomba 'CAF' wairuhusu Simba iwape Yanga alama mbili ili wafuzu kuingia robo fainali!

    Habari wana jukwaa... Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali. Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
  7. Mohamed Said

    Konganano la Mwinyi Baraka: Uislam, Waislam na Uzalendo

    https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
  8. The Supreme Conqueror

    Nimeitazama hii video ya Hayati Reginald Mengi ni tajiri aliyekuwa na Uzalendo na Uchungu na Taifa hili tofauti na wengine wanaotumika kuhujumu Nchi

    Hii video inajieleza kwa mengi sana japo alikuwa na makando kando yake ya kibiashara hasa figisu za masoko kwa wafanya biashara wenzake ambapo katika ushindani wa soko kwa Wafanya biashara ni jambo la kawaida. Lakini hapa ukimsikiliza Mengi alikuwa na uchungu kwa namna Taifa letu lilivyokuwa...
  9. GoldDhahabu

    Mafunzo ya JKT yanaleta uzalendo?

    Inawezekana sijui kwa usahihi tafsiri sahihi ya neno uzalendo. Lakini najua dhima mojawapo ya kuwepo kwa mafunzo ya JKT ni kujenga uzalendo kwa vijana wa Tanzania! Hilo lengo limefikiwa? Mimi naamini Mzalendo hachukui rushwa. Naamini Mzalendo hawezi kuihujumu nchi yake! Lakini mbona kuna watu...
  10. Pascal Mayalla

    Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao

    Wanabodi Makala yangu Gazeti la Mwananchi la Jumatano hii. TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani Jumatano, Januari 08, 2025 By Paschal Mayalla Japo makala zangu zinajikita zaidi kwenye mada za kikatiba, kisheria na haki, lakini mara mojamoja pia ninaingia kwenye mada za kisiasa...
  11. K

    Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
  12. Nehemia Kilave

    Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

    Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu. Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo . Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa...
  13. M

    Simba Tumlipe mchezaji wa jkt kwa uzalendo wake kwetu

    Kajitoa muhunga sana kuisaidia Simba jana. Na sasahivi nasikia timu yake yote inamlaumu na hata Kocha wake ka mmaindi sana. Katupa furaha sisi Msimbazi hivyo tusimuache kinyonge hivyo, ipo siku atatufanyia jambo lingine la maana kabisa. Pia itahamasisha MAWAKALA WETU WENGINE .
  14. kipara kipya

    Ajabu sana klabu yanga wanapotaka vitendo vya kihuni visitangazwe na kukemewa kwa kigezo cha uzalendo!

    Nimemsikia msemaji wa Yanga Ally Kamwe anasema DR Congo wamefanyiwa vitendo vya kihuni wamerogwa mchana kweupe washabiki wao wamepigishwa magoti na kuchomwa na jua kali, Kama msemaji wa yanga anasema vitendo hivyo vingefanywa kwa mkapa na klabu ya Yanga kwa kuwa waandishi wa tanzania hawana...
  15. KING MIDAS

    Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

    Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious. Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli. Tunafahamu...
  16. Tlaatlaah

    Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

    Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa. Dr.Samia...
  17. Q

    Kikwete ajifunze Uzalendo kwa Warioba

    Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe. Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako. Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa...
  18. Waufukweni

    Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"

    "Kikosi kwa sasa kinaendelea na programu ya mazoezi kikijiandaa na mchezo dhidi ya Pamba. Leo usiku tutaondoka kwenda Mwanza na wachezaji wanne waliokuwa Taifa Stars na Camara aliyekuwa timu ya taifa ya Guinea wameshajiunga na kambi. Steven Mukwala atawasili Dar kesho alfajiri na kuunganisha...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Kukosekana kwa uzalendo wa kweli miongoni mwa Watanzania ndio sababu ya CCM kushinda kila uchaguzi. Nov 2024 CCM itashinda, Oct 2025 itashinda tena

    Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila kujali cheo, hali au mali alizonazo ikiwa tu mtu huyo atahatarisha au kuweka rehani mali za umma...
  20. T

    Maoni: Kwenye suala la utaalamu Uzalendo weka pembeni

    Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo. Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi. Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri. Huwa wanaweweseka Sana wakati wa kuajiri makocha kwani huwa wanasikiliza Sana kelele kutoka Kwa watu ambao wengi Wao...
Back
Top Bottom