Najivunia sana nchi yangu Tanzania kuwa ni kubwa barani Afrika, ikiwa imesheheni tunu nyingi kama vile ardhi yenye baraka nyingi, utalii, uvuvi, kilimo, viwanda, na sekta nyingi zaidi. Licha ya rasilimali hizi zote, suala la siasa safi ndilo lenye umuhimu wa msingi katika nchi yetu. Viongozi...