uzazi wa mpango wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wabunge Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi

    Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba. Naibu Spika Thomas Tayebwa aliliita wazo hilo "Ushetani", akisema "Litarasimisha unajisi" wa wasichana. Afisa mkuu wa wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…