Kondo la uzazi kumtangulia mtoto (Placenta previa) hutokea wakati wa ujauzito, kondo huongezeka ukubwa na kutanuka kadri mfuko wa uzazi unavyotanuka na kukua.
Ni miongoni mwa hali za hatari kwa mama mjamzito ambapo kondo la nyuma hujipachika katika sehemu ya chini ya mfuko wa uzazi, kukua na...