Tukiwa angalia bado vijana tunafanya chaguo mbalimbali bila kuzingatia siku zijazo. Wakati mwingine chaguzi hizo hutumaliza katika maisha yetu ya baadae. Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo mtu anaweza kujutia akiwa uzeeni.
1. Kuoa mtu asiye sahihi.
ukiwa kijana, angalia nia yako ya kuoa...