Nimerudi kazini umeme hamna,
Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha.
Wakasepa zao , nimepiga simu na kuwatumia TANESCO whatsap wakanipa kumbukumbu namba kisha baada ya dakika mbili...