Bodi ya wahandisi ina matatizo makubwa, wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi nadhani kwa sababu zao binafsi, sasa kama mhandisi tayari umeshaandikishwa ukaandika ripoti na bodi ikakaa na kukubaliwa na mwisho ukaapishwa, ni nini kinachelewesha kuchapisha vyeti?
Kwani kuna mchakato wowote...