uzinduzi wa kampeni ya tonetone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA ina watu wana akili sana

    Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele. Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…