uzinduzi wa kitabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  2. C

    Uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Muungano

    Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa...
  3. Uzinduzi wa kitabu ''Mwanamke Mwanamapinduzi''

    UZINDUZI WA "MWANAMKE MWANAMAPINDUZI" GOLDEN TULIP Ikiwa ulipitwa na yaliyoelezwa kuhusu kitabu hiki: Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Biubwa akiwa msichana mdogo wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya...
  4. UZINDUZI WA KITABU: Lissu asuswa na kupuuzwa na wanaharakati wenzake

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salam sasa niende kwenye mada husika. Kama ilivyozoeleka huko nyuma, swala la uzinduzi wa vitabu hasa kwa viongozi wetu lilikuwa ni la uwazi, ambapo kila mtu bila kujali vyama alilifatilia mwanzo mwisho. Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha hayati mzee...
  5. Matukio mawili yaliyoniacha na tafakuri kubwa

    Naomba nisipingane na asili ambayo inalandana hata mitazamo ya kiimani kwamba ALIYE NACHO HUONGEZEWA! Kuna uwezekano mkubwa mabepari walijifunzia huku. Matukio haya mawili ni ya ma rais wetu wastaafu ambao kupitia kwao weekend iliyopita walisababisha mijadala mipana mitandaoni 1. TUKIO LA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…