uzinifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
  2. Ulianzaje na ukafanikiwa kujizuia, kupunguza na hatimae kuacha kabisa uzinifu na uchepukaji?

    Lakini pia ulitumia mbinu gani na zilizokufanikisha kuacha umalaya, usagaji, nyeto, uasherati na udangaji, hadi sasaivi unaonekana umetakata, una afya njema, unavutia, nadhifu, unaaminika na kuheshimika mbele ya jamii?🐒 Maana madhara ya uchafu huo ni bayana, yameathiri pakubwa jamii nzima ya...
  3. Tuacheni uzinifu, madhara yake ni makubwa sana hata ukitoa magonjwa yaliyopo

    Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi. Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo...
  4. Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

    Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake. (1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram. (2) Wakati ww...
  5. Huu sio uzinifu?

    Hivi kufanya imagination kwa sisi wanaume unapokaribia kutoa wazungu kuwa una Lucy wakati mpo na Neema sio uzifu? Hata wanandoa wengi utamu ukikolea huwa wanapiga imagination kuwa Wana mtu fulani tofauti na mke au mme wake ndipo wanafika kileleni haraka. Hali kadharika wapiga ponyeto nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…