uzinzi gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    Itakuwaje ukijikuta wewe na mkeo mmefichwa uvunguni?

    Umemuaga mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa...
  2. E

    Je, Sheria inasemaje kuhusu kutoka na mke au mume wa mtu?

    Habari, hivi kisheria ukimkamata mtu katembea na mke au mume wako anashughulikiwaje?
  3. TUKANA UONE

    Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio) 3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
Back
Top Bottom