Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela.
Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
Habari wanajamvi!
Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana.
Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti.
Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan.
Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko.
Wanajua #freepalestine ni utapeli
Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule nyingine ziko katikati ya miji lakina hazina uzio.
Kuna shule moja hapa Arusha wananchi...
Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea.
Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali mdogomdogo
Habari wanajukwaa,
Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)?
Asanteni
1. UJENZI WA RUNWAY YA SONGWE AIRPORT UMEKAMILIKA.
Mradi wa Ujenzi wa sehemu ya kuruka na kutua Ndege "Runways" ambapo kulifanyika ujenzi wa tabaka la juu la lami KM 3.3 imekamilika kwa 100%
2. UJENZI WA UZIO WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE NA TAA ZA KUONGOZEA NDEGE UMEKAMILIKA , JIJINI MBEYA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka Shule ya Msingi Boko Mtambani ili kuleta amani na usalama shuleni hapo.
Shule hiyo imejengwa karibu na eneo la makaburi yanayodaiwa kuwa na matukio ya mauzauza...
Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
Wanaharakati wa haki za watoto kisiwani Pemba, wamewataka wazazi na walezi, wanaomiliki nyumba zilizozungushwa kuta ‘fens’ kuwapa muda watoto wao kuchangamana na wenzao, ili kucheza pamoja, ikiwa ni sehemu moja wapo ya kukuza ubongo wao.
Wamesema, njia moja na rahisi ambayo haihitaji gharama...
"Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"!
Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake.
Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya kiuchumi wakiamini wao sio watu wa kaliba hiyo nakuamini waliofika hatua hizo ni watu baadhi tu...
Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti ili kila mpangaji atoke na kuingia kwa geti lake.
Baada ya mwaka na nusu nilihamishwa mkoa mwingine...
Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha.
Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter)
fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa.
Piga...