Jana nimemuona daktari akaniambia nipungue uzito. Wenye uzoefu, leteni ushauri nifanyaje nataka niondoshe kilo 10 mpaka 15. Leo nimeanza mazoezi na kula high protein diet.
BMI yangu kama unavyoiona hapo👇, usiniulize kilo zangu fahamu tu niko overweight.
Haya nishaurini nini cha kufanya...