Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
Nyie wataalam ni waongo mlionishauri mazoezi ati nitapunguza kilo kumbe ni uongo tu, badala ya kupunguza naongeza KGS
Najituma sana mazoezini, namwaga jasho ili nikate weight ila naona KGS ziziongezeka kuliko kabla sijaanza
Bora hata nisingepiga tizi sioni faida yoyote ya mazoezi
Kama nilio anza juhudi zangu za kupunguza uzito, huu ni mwezi wapili kwa kutumia mfumo ule ule wa kula mlo moja mboga za majani sana na kuepuka vyakula vyenye wanga sana kama chapati ugali na chapati. Mwezi wa kwanza matokeo yali patikana kwa kupungua 8kg.
Kwa kuendelea na utaratibu huo huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.