uzoaji taka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    KERO Utaratibu wa uzoaji Taka Jiji la Mbeya ni shida, zimezagaa mitaani licha ya Wananchi kulipa ili zizolewe

    Hili Jiji la Mbeya sasa kila kona ya Mtaa limegeuka kuwa kama Dampo maana siyo kwa kutapakaa kwa takataka kiasi kingi, licha ya kutokea kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika baadhi ya kata hivi karibuni lakini suala la usafi limebaki kitendawili. Halmashauri ya Jiji hawa watu wenu wa Suma JKT...
  2. winky

    KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi kaskazini(kwa lubaba hadi pande) hatuna huduma ya uzoaji TAKA tangu february 2024

    Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka. Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
  3. A

    KERO Gari la taka ni changamoto siku ya tano leo

    Kumekuwa na kero kubwa katika mitaa ya Ubungo NHC, halmashauri imeshindwa kuleta gari la taka kwa wakati Leo ni siku ya 5 taka zipo na hakuna juhudi zozote na maeneo taka yalipo ni karibu na makazi ya watu, tunaomba halmashauri ifanyie haraka hii maana kipindupindu bado hakijatuacha
Back
Top Bottom