uzoefu wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jangoma

    Uzoefu wako nchini Mauritius

    Ambaye amewai fika na kuishi chini maurritius tunaomba atupashe habari kuhusu nchi hiyo kuanzia utaratibu wa kuingia chini humo,Maisha ya kila siku na shughuli za kiuchumi kama ajira na biashara.karibu.
  2. R

    Naomba kufahamu ni maeneo gani ambayo hayana uswahili mwingi wizi mwingi sehemu tulivu kwako wewe na Mali zako Kwa dar

    Habari Wana great thinker Katika harakati za kuwaza nitafanya biashara gani na nikae wapi nimekaa nimefikilia nikaona dar es salaam utakuwa mkoa Bora kwangu Kwa kuanza maisha. Umri miaka 25 jinsia kiume. Sina UZOEFU wowote na mkoa huo ila naamini kutobolea hapo sababu zilizonifanya kuwaza...
  3. BabaMorgan

    Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

    Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
  4. Dr Matola PhD

    Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

    Ndugu wana nzengo amani iwe kwenu. Leo kuna jambo naomba tushirikishane uzoefu limeniumiza kichwa muda mrefu sana. Katika maisha yangu nimebahatika kuishi na wazungu kwa ukaribu sana kiasi kwamba nilipaswa kujuwa ukweli wa ninachokiuliza lakini wazungu ni wagumu kufunguwa codes, ukiwauliza...
  5. Dr. Zaganza

    Kwa hisia kubwa, kwa uzoefu wako, eleza chanzo na suluhisho cha tatizo hili

    NB: Mzaha uwe kando, chukulia ndo madogo zako
  6. Ancient Resident

    Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

    Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma. Karibuni.
  7. Mia saba

    Tupe uzoefu wako juu ya biashara

    Binafsi nimekaa chini nikafikilia nimeona biashara ya mavazi ni biashara nzuri mno mno mno Sana hasa ukiwa unachukua kutoka kwa wazalishaji (kiwandani) unakuja kuuza Kama retailer utapiga supernormal profit. Wewe kwa upande wako juu ya uzoefu wa biashara ni upi? Ni biashara gani nzuri unaikubali?
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Umeshawahi kukutana na mtu aliyepandisha jini/ mwenye majini? Tupe uzoefu wako

    Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips. Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu. Basi...
  9. winnerian

    Biashara ya nguo na vifaa vya watoto mwaka 0 hadi 12

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya hii katika mkoa flani ila sina uzoefu hivyo ukinipa uzoefu wako utakuwa umeniboost sana pa kuanzia
  10. Da Vinci XV

    Unaamini katika uchawi? Tushirikishe uliyowahi kukumbana nayo

    Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences Wasalaam, Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa. Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
Back
Top Bottom