Kuna siku nilikuwa pub flan nishakura ngorondo zangu kiasi namanisha kilevi Cha bei rahisi
Kikanipa confidence ya kuongea na msichana sijui mwana mama kifupi PISI KARI
Kwakuwa nilikuwa na vitu kichwani yaani ilikuwa full confidence
Nilikuwa na uwezo wa kuongea hata na mtoto wa mboe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.