v40

  1. otimbiotimbi

    Fundi /programmer wa volvo V40

    Habari ndugu zangu,naomba tupeane connection hapa za fundi/programmer mzuri wa volvo v40 T4 ya 1600cc petrol 2014 model Anatakiwa fundi mzuri sio wa kubahatisha ,yaani anayeijua hiyo gari vizuri.
  2. E

    Volvo V40

    Habari wadau Tafadhari naomba uzoefu kwa mtu amewahi kumiliki ama yupo familiar na Volvo V40 (hasa ya 2012-2019). Ningependa kujua juu ya reliability, common issues, fuel consumption na availability ya mafundi na spares kwa hapa TZ. Nmekuwa napita pita mtandaoni naona ni gari yenye features...
Back
Top Bottom