Habari wadau
Tafadhari naomba uzoefu kwa mtu amewahi kumiliki ama yupo familiar na Volvo V40 (hasa ya 2012-2019). Ningependa kujua juu ya reliability, common issues, fuel consumption na availability ya mafundi na spares kwa hapa TZ. Nmekuwa napita pita mtandaoni naona ni gari yenye features...