vacuum

  1. Chance ndoto

    NAUZA Compressor machine, Gas cylinder 2, Floor Jack 3ton, Dry vacuum cleaner, Car pressure wash machine, Welding machine.

    Compressor machine L 1000, Gas cylinder 2, Floor Jack 3ton, Dry vacuum cleaner, Car pressure wash machine, Welding machine. Vyote kwa jumla 4ml tu. Nipo sinza. Bei sawa na bure. Wahi mapema kabisa tajiri Mawasiliano 0767266299
  2. T

    Nikiangalia nchi yetu inavyoendeshwa. For Sure Tuna big Leadership Vacuum; Hatuna Strategic leadership. Ni Kama nchi inajiendesha yenyewe?

    VERSION 1 Nikiangalia maamuzi ya viongozi wetu yanavyotughalimu, yanavyoighalimu nchi; matumizi mabaya ya hela za walipa kodi ambazo zingepelekwa kenye kuboresha maisha yao, mikataba mibaya tunaishia kulipa matrilion ya faini, maliasili za nchi kuuzwa kwa bei ya kutupa kwa wageni kwa manufaa...
  3. Imole

    Naomba ABC's za Vacuum cleaners

    Habari, Wataalam nahitaji kununua vacuum cleaner, kuna moja inaitwa edon ya lita 30 na bei yake ni kitonga sana ndo nataka niichukue. So kabla sijachukua kwa wenye uzoefu na hizi machine naomba kupata abcs.
  4. Michael Amon

    INAUZWA Vacuum Cleaner Mpya

    Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja. Bei: 250,000 Location: Arusha Mawasiliano: 0768444224
  5. JituMirabaMinne

    Jinsi Vacuum Leak inavyoweza kuathiri perfomance ya gari na gharama za mafuta.

    Engine ya gari huwa inakuwa na njia za hewa. Inaweza kuwa hewa na kawaida, moshi, fumes za tank la mafuta, n.k. Endapo njia hizi za hewa zitaanza kuvuja[leak] huwa inaweza kusababisha matatizo makubwa kwenye gari. Baadhi ya dalili kwamba engine ina leak hewa huwa ni; 1. Check engine light...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani? Russia walitumia kuipiga Ukraine 🇺🇦

    Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko vilipuzi vinavyofahamika vyenye ukubwa sawa na wake, na vina athari...
  7. Superbug

    Nature hates vacuum Polepole and Ndugai fits it after 28/10 fraud

    It is the law of the nature that vacuum should by all means possible be filled in. The parliament needs opposition voices for it to be meaningful but the election results of 28/10/2020 ousted opposition intentionally. Now polepole and Ndugai inclinate to the call of nature.
  8. Y

    Oil free claw vacuum pump SV 300 launched

    After more than two years of research and development testing, EVP's oil-free claw vacuum pump series first product - 300 officially launched Oil free claw vacuum pump is an ideal solution for continuous operation of rough vacuum applications 1. There is no oil in the cylinder, which saves...
  9. A

    Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3d vacuum sublimation machine

    Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi aliyepo hapa Dar anicheki PM kwa mawasiliano.Asante
  10. A

    Matafuta 3d vacuum heat press kama hii hapa

    Habari wadau, nataka kufanya business ya kuprint vitu mbalimbali, kuna hii machine naihitaji sana katika kutimiza business yangu. Kwa wenye duka lenye nalo hii Machine hapa Dar Tafadhali ni PM tumalize biashara chapchap!
Back
Top Bottom