Mteja sio panya mpaka muwaekee mtego kama ule wa makusudi kabisa kwahiyo mmeamua kuuza vocha kwa lazma?
Je hamuoni kama huo ni wizi yanI mnamtega mteja anunue vocha badala ya kutuma hela, naomba muitoe option ya kutuma kama vocha kwenye sehemu ya kutuma hela haraka sana sawa tunakubali sisi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.