valentine day

  1. Jack Daniel

    Happy valentine Day

    Ndivyo navyoweza kusema Watu wamesherehekea vyema na wapenzi wao ,kila sikukuu ina maana yake. Wapo wanaotaka out kila weekend,. Lakini outing ya Leo ni ya kipekee Kwa wengi. Wapo wanakula vizuri kila siku,lakini mlo wa leo ni zaidi ya kula. Watu wanapeana zawadi kila siku lakini Gifts za...
  2. yassird200

    Nawaza kumletea mzee nguo kama zawadi ya valentine. Ni sawa au nitakuwa nimekosea?

    Wakuu! Binafsi mimi si mtu wa masuala ya mapenzi hata kwenye siku kama ya leo. Leo nilikuwa na mpango wa kuwatembelea wazee, lakini kwa kuwa ni siku ya upendo, nikaona si vibaya nikichukua chochote kwa ajili yao. Kuhusu huyo mzee, ishu si yeye kama mtu, bali ni mama yake. Sasa nawaza kumletea...
  3. kipara kipya

    Dada aponzwa na gauni jekundu la valentine atoka nduki Guest house kisa njemba imejaliwa!

    Haya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest. Dada mmoja alijikuta akikimbia nje mbio akiwa na chupi mkononi baada ya kushindwa kuhimili ukubwa wa pongoo la...
  4. CARIFONIA

    Wanaume tukutane hapa tena

    Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi. Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi. Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi. Krismasi ikifika, wewe pekee ndiye unayetoa zawadi. Siku ya kumbukumbu ya uhusiano wenu, bado wewe pekee ndiye...
  5. Pang Fung Mi

    Naipenda Valentine Day mpaka naumwa mapenzi

    Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia. Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote. Ni mimi Baharia Wadiz
  6. peno hasegawa

    Valentine Day

    Karibuni!
  7. P

    Matukio valentine day

    Baada ya majukumu ya kitaifa na kutafuta ugali hapo jana.........mida ya jioni nikaingia supermarket moja hapa jijini dar nikadaka baadhi ya vizawadi kwa ajili ya demu wangu. Nimefika gheto nikaoga then nikampigia demu wangu huyo simu ili ikiwezekana nimpe kile nilichojipinda kama mtu...
  8. Street brain

    Asili ya siku ya wapendanao (Valentine’s day). Haipo kama ambayo sisi tunaichukulia

    Siku ya Valentines Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumbukumbu (memoria day) na sehemu nyingine ni (festum) maana yake siku kuu ya daraja la kwanza kwa kumkumbuka Padre Valentine aliyeuawa na utawala wa kirumi Sababu ya kutetea waumini wake kufunga ndoa badala ya kuishi na...
  9. clefting

    Mahusiano yangu yamekufa rasmi Valentine Day

    Heri ya siku ya wapendanao Iko hivi nilikuwa kwenye mahusiano na huyu dada nkwa miezi sita,Mm ni graduate nipo kitaa nina mwaka na hustle na kilimo na ufugaji ili kupata mahitaji yangu ya msingi kwahyo sikuwa na mpango na mwanamke maana nilijiona sina thaman na siwezi pendwa na mwanamke. Sasa...
  10. Me too

    valentine day photos gallery. 😍❤

  11. Baba jayaron

    Last year on Valentine day with my Xwife

    Happy Valentine kwa wenye Mapenzi! Leo nimekumbuka Valentine ya mwaka jana na Xwife wangu. From December 2020 tulikua na kutoelewana flani nikasema ngoja nimtulize Kwa mtoko maana ni vitu anapenda sana sema ni hivo sikua na maisha hayo baada ya kufulia. Basi nilikua ka 50k nikasema haitoshi...
  12. M

    Kuelekea Valentine Day huu ndiyo Mgawanyo wangu wa Salamu za Upendo kwa Wahusika Wote

    Mwenyezi Mungu 50% Wazazi Wangu 40% Walimu na Wahadhiri wangu 4% Simba SC yangu 3% Wapenzi wangu wa Kubaiolojiana 1% Marafiki zangu 1% Maadui zangu popote 0.5% Wachawi Wanaoniroga Usiku 0.5% Happy Valentine's Day nyote hapa JF.
  13. Nakadori

    Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

    Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka ...valentine imekaribia ila jaman hata sina wa kuniletea ua..... Uncle hana ishu za kisasa za kupeana maua... hapo nikiomba hela ntapewa nyingi tuu ila sasa ulete vitu romantic utashangaa na roho yako. Yani natamani mtoko wa maana nifanyiwe japo romantic...
  14. reymage

    New couple in town

    Hatimaye tetesi zimekuwa kweli! Diva wa music Bongo Sukari, Zuchu anatoka na boss wake aliyemtoa kimuziki yaani Diamond Platnumz. Jana wamenaswa Hyatt Regency wakijiachia full mahaba kiss and touch everywhere. Yasemekana anataka kumuoa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Kabla ya kuwa na...
Back
Top Bottom