valentines

  1. Man Middo tz

    Birthday za November ni kwa hisani ya Valentine Day

    Nyie wenye birthday mwezi huu, mshukuru sana kilichofanyika valentine day ya mwaka uliozaliwa. #Madodi
  2. chillo clan conscious

    Matokeo ya Valentine’s Day

    Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana ambayo hayafai katika ulimwengu huu na hata ulimwengu usio kuwepo. Jana nimeona watu wakitoka na...
  3. Kaka yake shetani

    Valentine ni siku ya kulana kimasihara

    Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko. Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
Back
Top Bottom