valentine's day

  1. musicarlito

    Tusiipotoshe Sikukuu ya Mtakatifu Valentino (Valentine's day)

    MTAKATIFU VALENTINO, PADRI NA ASILI YA SIKU YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAY ) Siku ya Valentine Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumkumbuka Padre Valentino aliyeuawa na utawala wa Kirumi. Mt. Valentini alizaliwa mwaka 226 AD huko Terni, Nchini Italia na aliuawa Februari 14...
  2. jannelle

    Happy Valentine's day dear Lovers & Friends

    Happy Valentine's Your all Deserve this. Enjoy your Day. Kisses 😘
  3. Heci

    Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

    Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January. Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb. Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake...
  4. Cute Wife

    Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
  5. I am Groot

    Kuna watu wako hivi siku ya leo Valentine's day😂

    SOMETIMES wako Alone; SOMETIMES they're not😂😂 P Ila jamaa kipaji sana🙌🙌
  6. W

    Historia Fupi ya Siku ya Wapendanao (Valentine's Day)

    Hii ni siku inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Februari 14. Imetokana na Mtakatifu, Askofu wa Kanisa Katoliki wa miaka ya 496 baada ya Kristo aliyeitwa Valentino. Siku hii watu wengi huiadhimisha kwa kupeana zawadi mbalimbali kama kadi, maua na nyingine nyingi zenye ishara ya upendo. Fahamu...
  7. MIXOLOGIST

    Umejipangaje kuisherekea sikukuu pendwa ya valentine's day 2024

    Waslaam wana JF Kwa wale wazeee wa ma-lovey dovey dovey hii ni sikukuu pendwa sana kwenu Binafsi, ninafikiria kwenda kusherekea na watoto yatima, nataka nitoe sadaka ya vitu mbali mbali kwa watoto yatima ili upendo wa Mungu uendelee kuwa nao Asanteni
  8. A

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
  9. Kaka yake shetani

    Valentine ni siku ya kulana kimasihara

    Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko. Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
  10. Makonde plateu

    Wengine wakifurahia Valentine's Day, mimi naugulia maumivu ya kuchapiwa

    Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa. Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Neno kwa umpendaye siku hii ya wapendanao St. Valentine's Day

    Here why! 'Cause I am hooked on yuh lovin like a big snapper fish Di way yuh look di way yuh dressed a dat mi caan resist Yuh personality there's no odda like it Buji Buji tellin' di world woman yuh criss A woman like you is one in a million Waan yuh inna mi arms twenty four seven I would a get...
  12. De Opera

    Haki ya nani X wangu atapata tabu sana na mpango wangu Februari 14

    Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. 😂 Mwenye plan nyingine anipe tafadhali! ---------------👇-------------- This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what suits you! 🙌 Sometimes we need to be funny, so kila muda umekunja tu sura! Utakuwa na matatizo ya...
  13. E

    Valentine's day inaniharibia bajeti

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Nimeshapatikana mieee na tarehe 14 ndo hiyoooo... sawa ndo nimefall lakini baada ya kuorder zawadi ya Mr...design kama vile ni gharama.... no regrets, nina tafakari tu. Hili wazo na nyie wenzangu hamlipatagi hapa na pale??
  14. starlightz

    Valentine's day, what can you do?

    Valentine's Day is a special day dedicated to celebrating love and affection between intimate partners. This holiday is widely celebrated around the world and offers an opportunity to express love and appreciation for that special someone in your life. While the traditional approach to...
  15. Kasomi

    Happy Valentine's day to you all (JF members & JF Crew)

    If someone ask me when shall I stop loving and using JF, ask my intellect when will it stop learning? I have one wish for Valentine’s Day To you all JF members
  16. Kasomi

    Fahamu machache kuhusu siku ya Wapendanao(Valentine 's Day)

    MACHACHE KUHUSU SIKU YA WAPENDANAO((VALENTINE'S DAY) Salute mate, hongereni wenye wenza kipindi hiki cha tarehe 14 februari. Pia hongera kwangu kwa 10,000 Messages since nijisajili cheers 🥂🥂🥂 Back to topic, Yafuatayo ni machache kuhusu Siku ya wapendanao yaani Valentine's day. 1- hufanyika...
  17. Kimemeta

    Valentine's Day: Kwanini akina dada wanadhani wao ndiyo wanatakiwa wapewe zawadi na sio wao kutoa zawadi?

    Ni jioni tulivu kuelekea kesho siku ambayo wanadamu tumeamua kuopotosha kabisa maana yake halisi na kujiwekea maana ambayo inatufurahisha sisi kizazi cha uovu. Haya hili tumekubali sasa kuna jingine kama heading inavyosomeka. Yani akina dada wanajiona wao ndo wanaostahili kupewa zawadi toka kwa...
Back
Top Bottom