van

  1. Teko Modise

    Van Damme na Bolo Yeung wakiwa apamoja tena miaka 37 baadae

    Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung. Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae. Ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
  2. JanguKamaJangu

    Mashabiki wamwambia Van Nistelrooy “Hujui unachokifanya”

    Baada ya timu yao kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Fulham ikiwa ni mchezo wao wa 7 mfululizo kupoteza katika Premier League, mashambiki wa Leicester City wamemgeukia kocha wao, Ruud van Nistelrooy na kumwambia “Hujui unachokifanya”. Mashabiki hao waliimba katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja...
  3. Eli Cohen

    Anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake

    As much as mwanamke ana mapungufu milioni mia nne haipotezi ukweli kuwa hakuna alie kulazimisha bro, Haipotezi logic kuwa asilimia kubwa ya wanaume wana ushamba wa wanawake. Na kama navyosemaga "anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake" Kuna Dini zimebadilishwa baadhi ya...
  4. Eli Cohen

    Mnamkumbuka Tong Po yule ambae Van Damme alimkuta anapiga ukuta hadi unatiksika kwenye movie ya kick boxer 😂. Kumbe hakuwa Mthailand wala nini!

    https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01 Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand. Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts. Kickboxer ni moja ya classic movies...
  5. JanguKamaJangu

    Virgil van Dijk asema Liverpool haijampa mkataba mpya

    Beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk (33) amesema licha ya kuwa mkataba wake umesaliwa na Mwaka mmoja, hajapata mkataba mpya hali ambayo inaonesha dalili kuwa inawezekana maisha yake yasiwe marefu kikosini hapo. Mbali na Van Dijk mastaa wengine wat imu hiyo ambao mikataba yao...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jonas Van Zeeland Aipambania Mvomero Kupata Maji Safi na Salama kwa Wananchi Wake

    MBUNGE VAN ZEELAND AIPAMBANIA MVOMERO KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WAKE "Je, lini Serikali itakamilisha mradi wa kusambaza maji katika tarafa ya Tuliani?" - Mhe. Jonas Van Zeeland, Mbunge wa Jimbo la Mvomero "Serikali inaendelea na utekelezaji wa mradi wa kusambaza maji katika...
  7. James Hadley Chase

    Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

    Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho. Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi...
  8. S

    Singida Fountain Gate yaachana na Hans Van Der Pluijm

    TAARIFA KWA UMMA Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo. --- PRESS RELEASE RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders...
  9. Gang Chomba

    KUMBUKIZI: Abajalo Vs Sparrow, Van Dame anachukua maamuzi ya kijasiri, Louis Mfede anausimika Ufalme wake, Kally Ongala anaamua Mechi

    Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan. Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
  10. Ushimen

    Jere Van Dyk: Nilichukuliwa na Taliban mara nilipokubali kukatwa kichwa kitu cha ajabu kilitokea

    Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa. Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
  11. Influenza

    Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

    Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli...
  12. I

    Marco Van Basten amponda Messi na kudai ni mchezaji wa kawaida sana

    Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya Uholanzi Marco Van Basten amesema Lionel Messi ni mchezaji wa kawaida sana na wala sio mpambanaji kabisa. Amewataja wachezaji kama Pele, Maradona na Johan Cruyff kama magwiji kamili wa kabumbu duniani. Van Basten pia amewataja wachezaji wengine kama...
  13. AUTOMASI COMPANY LIMITED

    Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  14. GENTAMYCINE

    Huyu ndiyo Rais Kagame nimpendae kutokana na IQ yake Kubwa

    "It is unacceptable that Ukraine a Country of 44 Milion people will feed Africa a Continent of 1.4 billion people. I promise all Rwandans that Rwanda will attain Food self sufficiency before 2025. I have authorized 1 billion dollars worth of Farming Materials, and all Logistics involved in...
  15. The Boss

    Robin Van persie..

  16. Mawio

    Gari aina ya toyota landcruiser inahitajika!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
  17. Mawio

    ENGINE YA TOYOTA LANDCRUISER AINA YA 1HZ INAHITAJIKA!!!..

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu (2,500,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Shukrani.
  18. Mawio

    Landrover 110 - 300 series inahitajika!!!

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni tatu kamili (3,000,000/=) Pesa za Ki-Tanzania. Kama una bodi...
  19. Mawio

    Nahitaji gari used Landcruiser

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali nzuri. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni...
Back
Top Bottom