Enzi hizo tulikua tunamchukulia Van Damme kama muungwana fulani hivi tukawa tuna wachukia kweli waliokua wanamsumbua 😂..... especially Bolo Yang na Chi Tompo
Sema jamaa alikua hatoi msaada wa bure kwa demu lazima ammege 😂
Mwisho kabisa kwenye kila movie lazima mwamba atapiga msamba hata kama...