vanguard

The vanguard (also called the advance guard) is the leading part of an advancing military formation. It has a number of functions, including seeking out the enemy and securing ground in advance of the main force.

View More On Wikipedia.org
  1. Car4Sale Toyota vanguard inauzwa tsh 31.8m maongezi

    NB📌COMPREHENSIVE INSURANCE COVERAGE IS IN EFFECT/ACTIVE✅ Bei/Price🏷️👉🏽TSH 31.8M Call📞0747 999 927 TOYOTA VANGUARD Year: 2010 Engine: 2360Cc Mileage: 79,000+ Transmission: AUTO ✨Sport Rims ✨Back Camera ✨Push To Start ✨Android Radio ✅Clean Interior ✅In Good Condition ✅Exchange Possible
  2. P

    Car4Sale Toyota Vanguard inauzwa Tsh milioni 28

    TOYOTA VANGUARD YEAR 2011💦 ENGINE CAPACITY Cc: 2360 MILEAGE: 82496 ENGINE CODE: 2AZ FUEL PETROL STANDARD FEATURES FULL OPTION✅ CODE:2AZ FUEL PETROL 🛢️PRICE:28M CONTACTS:+255754459647
  3. Ninunue gari ipi kati ya Toyota vanguard na suzuki escudo 2008?

    Habari wakuu Kati ya vanguard na suzuki escude 2008 ipi ni gari nzuri nataka kuvuta moja wakuu
  4. Msaada jamani hizi gari 3 Mazda CX5, Mitsubish Outlander SportsstyleEditon, Toyota Vanguard

    Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya 1. Utumiaji mafuta 2. uimara 3. Speed 4. Kupatikana vipuri 5. Ukisasa zaidi 6. Mwonekano mzuri. 7. Bei zake sokoni Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
  5. Je, ni wazo zuri kubadili gari kutoka Toyota Vanguard 2011 kwenda Nissan Extrail Third Generation ya 2016?

    Wakuu naomba kufahamu wataalamu wa magari, je ni wazo jema mtu kutaka kuuza Vanguard ya mwaka 2011 na kutaka kununua Nissan Extrail ya mwaka 2016. Naomba uzoefu na ujuzi wenu wakuu. Gari zote hizi hapa chini.
  6. D

    Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

    Gari ni yangu mwenyewe Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000 Leather seat Safar automotive New tyres Km 79,000 - OG Gari haina kasoro yoyote Bei 31m Call/watsap 0715140001
  7. Bampa la Vanguard dili! 2.5m TZS

    Wenye Toyota Vanguard kuweni makini. Wauza Spea wanasaka Sana hizo spea. Bampa tu 2.5m TZS
  8. C

    Mrejesho baada ya kuambiwa nichague kati ya Vanguard na Harrier ili ku compensate kama malipo ya kazi

    Kama nilivyowaomba ushauri kwenye post yangu ya 8/1/2021 nikitakiwa kuchagua kati ya gari tajwa hapo juu na kampuni moja ya ujenzi kama fidia ya deni nililowadai kwa muda mrefu bila malipo. Nawashukuru sana wana Jf na members wa forum hii kwa ujumla kwa mchango wenu wa ushauri , maoni na mawazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…