var michezoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi VAR itaanza lini kutumika kwenye Ligi kuu ya NBC 2024/2025? Maana kumekuwa kimya na ligi imeshaanza

    Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado? Uzi tayari. Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa...
  2. Inawezekana tukawa tumenunua VAR kwaajili ya urembo

    Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga. VAR ilipaswa...
  3. Ujio wa VAR ligi yetu ya NBC inakwenda kushika nafasi za juu zaidi Afrika na Duniani

    Siku ya jana tulishuhudia. Siku maalum ya kuonesha vifaa vipya na vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira. Kutoka Azam tv sambamba na hilo tukathibitishiwa rasmi matumizi ya VAR kwenye ligi yetu kuanzia msimu ujao wa 2024/2025 hakika hili ni jambo ambalo kwa upande wangu litaenda kuikuza...
  4. Mwigulu Nchemba: Tutaanza kutumia VAR msimu ujao ili kupunguza matukio yenye utata

    Amayesema hayo wakati Akisoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 === Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amependekeza kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za ‘’VAR’’ na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadaye akisema uamuzi huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…