Magufuli alipokataa ujinga huu, wa nchi za kiAfrika kucheza siasa za wazungu za corona, nadhani hawakumwelewa wenzake kwenye corridors of power.
Ni hivi: mzungu hutumia kila fursa yoyote, liwe jambo jema au jambo baya kama janga hili la dunia kukazia ile imani yake ya ndani kabisa asiyotaka...
Wakati mataifa ya ulaya yakitangaza kuwa chanjo mbili za corona hazitoshi na inabidi kuchanja booster kila baada ya miezi 6, kirusi cha corona kimekuja kivingine kikitokea Afrika ya kusini na kimeshasambaa mataifa kadhaa yakiwemo ya ulaya!! Mataifa mengi ya ulaya yameshapiga marufuku wasafiri...
The Telegraph
Sarah Knapton
Tue, August 10, 2021
Scientists have called for an end to mass testing so Britain can start to live with Covid
Scientists have called for an end to mass testing so Britain can start to live with Covid
The delta variant has wrecked any chance of herd immunity, a...
Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru.
Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo...
THE CORONAVIRUS CRISIS
The Delta Variant Will Drive A Steep Rise In U.S. COVID Deaths, A New Model Shows
July 22, 20216:24 PM ET
g in consultation with the Centers for Disease Control and Prevention to help the agency track the course of the pandemic.
It's a deflating prospect for parents...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.