Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa...
Ni lini watanzania tutathamini vya kwetu?
Nchi ya Tanzania ni nchi kubwa yenye tamaduni tofauti tofauti kutokana na kuwa na makabila mengi.
So suala la serikali kuweka kamati ya vazi la taifa miaka na miaka naona ni ubadhirifu wa fedha za umma.
Kwa sababu gani ni ubadhirifu wa fedha za umma ni...
Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa
Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu.
Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma...
"Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu
NB- 2004-2005...
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba.
Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga
Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha
Sijui kama Makolo...
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha
Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu?
Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
Na Ndesumbuka Merinyo
Mbunifu wa Mavazi Afrika Sana
Kwa mara ingine hivi karibuni tumetangaziwa na Waziri mwenye dhamana na utamaduni wa taifa kwamba imeundwa kamati ya "kutafuta" vazi la taifa.
Hii ni mara ya tatu kwa serikali kufanya jambo hili. Mara ya kwanza ilikuwa miaka ya 2003-4 wakati...
Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa?
Ilikuwaje kuwaje vazi la kaunda suti kuanza kutumika tanzania?
Kwanini limekuwa maarufu kwa viongozi hasa wabunge?
Kwanini sehemu kama chuo cha CFR wanataka liwe vazi la wanachuo?
Kwanini kaunda suti itumiwe mabalozi wengi?
Kwanini rangi nyeusi na...
Mambo vp JamiiForums?
Ninashauri sana nchi yetu ya Tanzania isiwe na vazi moja tu la taifa. Tuwe na mavazi rasmi matano (5) kutoka katika makabila yetu yatakayorasimishwa na kupewa hadhi ya utaifa. Yaaani kama inawezekana mpangilio uwe hivi au hata kama kura ya maoni inaweza kupigwa itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.