Habarini za Mchana wana Board.
Watu wengi hupata hasara wakati wa kununua magari kwa watu wengine (used vehicles), kwa sababu huwa hawana taarifa ya kutosha kutoka kwa amma wataalamu au jamaa wa karibu kuhusu gari analotaka kununua.
Ili kuepuka hasara hiyo, nakuwekea FOMU maalumu, ambayo kama...