Kwanza nimpongeze Abdul Naseeb kujiita Diamond Platinum. Unapojinenea baraka ni dhahiri utazipata na kinyume chake. Sasa yeye kujiita majina ya vitu vya thamani sana, vya kipekee na vyenye mvuto imemfanya naye awe hivyo ktk jamii.
Wapo waliojiita Dudubaya, Crazy GK, Masumbuko, Muhogo Mchungu...