Ni akina nani wanahusika na suala la kufanya vetting?
Rais anateua mtu ndani ya muda mchache anamtengua, mara kadhaa makosa haya yanajirudia. Rais anapewa mtu ambaye sio sahihi.
DC wa Sumbawanga alifanyiwa vetting? Diwani Athumani alipotolewa Idarani na kupelekwa Katibu Mkuu Ikulu uteuzi...